21 - Baba Twakujia
21 - Baba Twakujia "Father, We Come To Thee" 1. Baba twakujia, Uwe msaada; Uwe kimbilio, twakusihi. Dunia ni giza tukitengwa nawe; Fufariji hapa, Baba yetu. Baba twakujia, tu dhaifu, usitugeue, tusikie. 2. Salama tulinde, kati ya taabu; Uwe raha yetu mashakani. Roho ya sumbuka, Baba tujalie; Twakuomba sana, tupe nguvu. 3. Neema utupe, tukubali kwako; Moyo wetu Linda, safarini; Tuongoe mbele, tupate kushinda Na kufika ng`ambo, kule kwako. ( Amina)